Naongea na SIMBA

Naongea na SIMBA

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Tar 7/12 nilikuwa pub moja nakunywa juice ya Ceres huku naangalia game ya Man City Vs Man U! Most of my guys walikuwa upande wa Man City na bet nyingi walimpa Pep Guadiola. Possession ya City ilisoma 73% dhidi ya 27% za Man U! Mara kitu cha Kwanza Pep akatunguliwa! No one believed. Muda si Muda chuma cha pili kikalia na mpira mpk unaisha Man C 0- Man U 2! Pep aliteseka Sana siku Ile.

Sasa tukija Kwa match ya Simba na Yanga tar 4 nawashauri wachezaji waingie kivita. Masuala ya bets za nje waache kabisa. Waingie kama washafungwa na wapigane haswa. Yanga wanaweza kuwaaibisha na wakapoteza mwelekeo kabisa. Mpira hauna mwenyewe.

Mwekezaji na mashabiki tunataka raha sio karaha! Achaneni na historia, cjui tuna 5 yrs bila kufungwa na Yanga, lolote linawezekana.

Kama mlivunja mwiko wa Kagera Sugar vunjeni na kufuri la Yanga!

Blessed!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabsa mkuu wachezaji inabidi wakaze haswa ila nyuki FC lazima wakae iyo taree4
 
Wachezaji tumekusikia tutajipigia wale vibwengo kipigo cha kihistoria.
 
Dalili ya mvua ni mawingu! Kwa aina hii ya hofu, mtafungwa tu! hakuna namna. Timu ya wananchi inamfukuza mwizi kimya kimya.
 
Back
Top Bottom