DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mchumbwa hasomeshwi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Neno moja kwake?
huo muda wa kukomenti kweny uzi wa mpuuzi unautoa wapi? si bora ungeutumia kuchezea kinyeo chako ili ujiswafi kupunguza haruf ya nya....au nije kukusaidia kukichezea hicho kijambio?Una amka asubuh unawaza kumkosoa mwenzako mwenye mafanikio zaid yako...! Hzo nguvu unatoa wap
Wapuuz bado wengi tz, kwann usingechezea hata balls zako upoteze muda
Wametumia nguvu gani ,kwann tip top imekufa ?Siku sio nyingi dogo atapotea mana sizani Kama jembe ni jembe na mjerumani wanauwezo wa kutumia nguvu Kama walizo kua wanatumia babu tale salam sk na mkubwa fela
Naskia Uno kaiba youtube washamkula headTafadhali sana umemkuta Harmonize akiwa kwenye peak na nyimbo zake very hot,uendeleze walipoishia WCB na azidi kupaa zaidi,chagueni ngoma kali za kurelease, lakini kwa mwendo huu wa nyimbo mbovu anazotoa siku hizi kama huu mpya "UNO" lawama zote zitarudi kwako we jembe kwa kumshauri vibaya mmakonde wa watu.,ni hayo tu!!
Kwa io Magix Enga kamaind kweli...!dah Kama ndo ivyo wakenya si wa kuchezeaNaskia Uno kaiba youtube washamkula head
Simba ana figisu sanaNaskia Uno kaiba youtube washamkula head
Simba Hana figisu, hyo issue konde boy angekuwa wcb ingezimwa mapema cse Mond &Salam ni mkono mrefu , sasa huko aliko Hana support yenye ushawishi kusolve incovinience kama hzo, in short ana fight alone, kutoboa ni ngumuSimba ana figisu sana
Hiyo UNO achanana nayo kabisa, ni zile aina ya nyimbo unajifanya huipendi ila ukiwa bafuni unajikuta unaimba mwenyewe tena kwa sauti.
Simba Hana figisu, hyo issue konde boy angekuwa wcb ingezimwa mapema cse Mond &Salam ni mkono mrefu , sasa huko aliko Hana support yenye ushawishi kusolve incovinience kama hzo, in short ana fight alone, kutoboa ni ngumu
Kumbe huyo JEMBE ni mzee wa sifa tu ila utendaji FShida ni kwamba mameneja wenyewe bado underground hawajatoka hawana exposure ya kimataifa
Harmonize ni fagio la chuma ipo siku Diamond atasainishwa mkataba kwenye label ya Harmonize
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa natania mkuuNmejaribu kusikitika ikabidi nicheke tu aisee
Harmonize ni fagio la chuma ipo siku Diamond atasainishwa mkataba kwenye label ya Harmonize
i like itUmenifanya nirudi kuangalia Mara ya mwisho umepost nini na profile yako kwaujumla[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni aibu na fedheha Kwa msanii mkubwa kama Harmonize kufungiwa wimbo ni aibu , hata kama ni kweli alifanya copy and paste bado ni aibu Kwa uongozi wa kondegang , ni Sawa leo Raisi auawe Kwa kupigwa risasi , hata kama mazingira yanaruhusu vip bado utakuwa ni uzembe wa usalama wa Taifa husika....Jembe ni Jembe hawezi kuwa meneja wa Harmonize na wakapasua.
Kama ni huyu,haamini katika ubora,anaamini katika umaarufu!Bahati mbaya hana mbinu za kutengeneza umaarufu,ama kuukuza umaarufu.
Kuna kitu anakosa na itasababisha aue kipaji cha konde boy haraka sana.
Kwanza wamejidanganya kuwa watu wanapenda ujinga ujinga k.v uno.Akijikita kwenye nyimbo za ujinga ujinga kama huo,hataenda mbali.
Mi binafsi huwezi kuamini,nimempenda harmonize kwa wimbo mmoja tu.."happy birthday!"
Nakumbuka nilikuwa namsifu diamond kwa kuwa mbunifu na kuimba vzr ndipo mtu wangu wa karibu akanicheka sana akisema huyo si diamond ni harmonize!Ndipo nilianza kufuatilia nyimbo nyingine nilikuja kugundua diamond anabebwa sana na nyimbo anazoshirikishwa au alizoshirikisha
Harmonize ni wa kuimba nyimbo kama UNO?
Aseeee acha ninyamaze,endelea harmo acha niwe mpole
Hatuishi hivyo mkuuDogo anaenda kuzama kama Richi Mavoko anapotea mtaniambia
Mbona goma Kali wanajamvi a,e,i,o,u mbonge la ngoma linachezeka