Naosha masinki ya chooni na tiles zenye uchafu sugu

cutelisa

Member
Joined
Jun 3, 2017
Posts
32
Reaction score
58
*NAOSHA MASINKI*


naitwa Lisa ni mwanafunzi wa mwaka wa pili.

Nasafisha masink na tiles zenye uchafu sugu na zilizofubaa Yaani kushindikana kabisa.
[emoji818]Sinki la choo cha kuchuchumaa Sh 7000
[emoji818]sinki la choo cha kukaa Sh 9000
[emoji818]Jakuzi la kuogea Sh 12000
[emoji818]tiles Kuanzia Sh 10000 Inategemea na ukubwa wa eneo
[emoji818]kusafisha choo kizima chenye sink moja la kuchuchumaa na tiles za chini na ukutani Sh 15000
[emoji818]dawa Lita moja Sh 7000


Napatikana
*DAR ES SALAAM*
*MBEYA*

kwa mikoa mingine nakusanya tenda zikifika zaidi ya ishirini nakuja kuwasafishia.

Pia Kama upo mkoani na unataka kufanya usafi wa gesti au nyumba yako yenye masink zaidi ya kumi Naweza kuja.

*MAWASILIANO*

*DAR*
0673504106
0756356570

*MBEYA*
0754313794

*TENDA ZA MIKOANI*
0676868660
 
Safi sana. Mi nitakuungisha dawa tu.

Ila weka picha yako ionekane wengi wanaeza kuvutiwa kukuita uwasugulie..
 
Vizur Sana , kwa kua mbunifu
 
Tushirikiane kwenye kazi nami nitakua natafuta wateja na kufanya kazi ya usafi unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…