Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu ni kwamba kumbe ata ulonae/ulowah kuwa naye ni memba wa jf. Kila siku hapa apost nyuzi akikumbuka mapungufu na maongeo yako.Ila naogopa matatizo kidogo tu atayaleta MMU
Ila naogopa matatizo kidogo tu atayaleta MMU
Try me!
you are not a gentleman. Angalia unavyoandika Kama kivulana cha shule ya kata
Una matatizo wewe inaonekana ni bibi wewe over 30 unatafuta wa kufa nae.. kweli im still young kimtindo... then uandishi uo umetokana na grlz nlokuwa nao vtoto vdogodogo vibichiii samahan bibi
nani huyoo?
ha ha ha ha ha..