Naota Marehemu ananitokea

Naota Marehemu ananitokea

Status
Not open for further replies.

Jugado

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2021
Posts
1,446
Reaction score
3,184
Nimefiwa na ndugu yangu mwaka umepita.

Sasa naota usiku ananitokea akifurahia maisha yangu ya mahangaiko au akiona nami kufa siku zijazo! Mara kadhaa tunapigana sana.

Yote hayo hutokea kwenye ndoto. Wakati wa uhai tulikua marafiki japo alidai zaidi ya nilivyoweza.

Nitafanya nini niepuke ndoto hizi. Hii ni ndoto ya sita ananitokea akiwa ananisanifu.
 
Akija tena ndoto ongea naye, mwambie ukweli unavo jiskia pindi akijitolea, muombe msamaha kwa yale umekosea kwake na mwambie aliache uishi vyema na wewe mpe ahadi ya kutekeleza makubaliano
 
Nimefiwa na ndugu yangu mwaka umepita.

Sasa naota usiku ananitokea akifurahia maisha yangu ya mahangaiko au akiona nami kufa siku zijazo! Mara kadhaa tunapigana sana.

Yote hayo hutokea kwenye ndoto. Wakati wa uhai tulikua marafiki japo alidai zaidi ya nilivyoweza.

Nitafanya nini niepuke ndoto hizi. Hii ni ndoto ya sita ananitokea akiwa ananisanifu.
Umekaribia kufa aisee
 
Mkuu ulimfanya nn marehemu,funguka maana hadi anakuchamba kwenye ndoto ipo namna
Sikumbuki ubaya niliomfanyia ndugu yangu zaidi alikua ananitegemea nami nilitimiza mahitaji yake kadiri nilivyoweza. Sasa kila leo ananitokea as if nitakufa soon....
 
Tafuta wafasir was ndoto wakudaidie au jarbu kuwahusisha wavhungaji wako ili muweze kumfbyia ibada ya pamoja na kujua ni nin anahitaj kutoka kwako
 
Hiyo afadhali ndugu yangu anaota anashughulikiwa nyuma ni wakiume na anahistoria ya kukaa gerezani...kaniomba ushauri
Huyo ni jini mahaba mkuu ila ukitaka dawa ww na mtoa mada karibuni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom