Mmh hapo wangu kama ndivo basi safar Kwa muumba imewadia. Lazma kuna shida mahala.Marehemu hana mke wala mtoto na katika maisha yake akiwa hai mimi nilikua tegemezi wake na nilijitahidi Kwa Kila kitu.
Umekaribia kufa aiseeNimefiwa na ndugu yangu mwaka umepita.
Sasa naota usiku ananitokea akifurahia maisha yangu ya mahangaiko au akiona nami kufa siku zijazo! Mara kadhaa tunapigana sana.
Yote hayo hutokea kwenye ndoto. Wakati wa uhai tulikua marafiki japo alidai zaidi ya nilivyoweza.
Nitafanya nini niepuke ndoto hizi. Hii ni ndoto ya sita ananitokea akiwa ananisanifu.
Sikumbuki ubaya niliomfanyia ndugu yangu zaidi alikua ananitegemea nami nilitimiza mahitaji yake kadiri nilivyoweza. Sasa kila leo ananitokea as if nitakufa soon....Mkuu ulimfanya nn marehemu,funguka maana hadi anakuchamba kwenye ndoto ipo namna
Huyo ni jini mahaba mkuu ila ukitaka dawa ww na mtoa mada karibuniHiyo afadhali ndugu yangu anaota anashughulikiwa nyuma ni wakiume na anahistoria ya kukaa gerezani...kaniomba ushauri