babyfancy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 2,176
- 6,187
Msaada jamanI
Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 18 mwanzo nilikua naota wachawi wanakuja kumuiba nyumban nikawa nikawa namuokoa na kuna siku nilikua nimeenda nyumbani na tulilala wote usiku nikaota ananikaba tulipambana kweli na asubuhi yake nikamwambia kuna mtu kanikaba usiku akaniuliza umemtambua nikamjibu hapana akanyamaza tu na sasa hivi ana jeuri matusi haangaliagi wa kumtukana.
Je, anaweza kuwa mchawi kweli au vipi na sio mimi tu ninaye muota hata ndugu zangu wengine pia yaani mkigombana mchana tu usiku unalo na juzi nimemuuliza kakataa kasema hajui chochote.