Hio ni Onyo. Nakushauri ujitahidi kuwa mwangalifu zaidi unapopanga na unapotekeleza Mipango yako.. Usiwe unatanguliza Hofu ya kushindwa bali jipe moyo kwamba "Hii ngoma safari hii ninaenda kutoboa"Ni kweli.nasumbuliwa na hofu ya kushindwa.napambana nayo
Asante mkuuHio ni Onyo. Nakushauri ujitahidi kuwa mwangalifu zaidi unapopanga na unapotekeleza Mipango yako.. Usiwe unatanguliza Hofu ya kushindwa bali jipe moyo kwamba "Hii ngoma safari hii ninaenda kutoboa"
Halafu usiwe mwepesi kuwaeleza watu Mipango yako ya kimaendeleo -kumbuka sio wote wanapendezwa na Mafanikio yako.
Here we Go......Hapana.ila nlimuona mwanamama wa makamo
Anashahibiana na mke wa kiongozi
Labda mkuuHere we Go......
Kuna jambo unafanya. Hili jambo unalofanya au unalowaza halipendezi.
Na hili jambo kila ukilifanya lazima uote ndoto hii inajirudia kwa sababu bado unalifanya mara kwa mara.
Unatakiwa ujue kila inapotokea hii ndoto unakuwa unafanya jambo gani siku hiyo
Achana nalo
Here we Go......Hapana.ila nlimuona mwanamama wa makamo
Anashahibiana na mke wa kiongozi
Narudia tena👆👆Labda mkuu
Bado.hata we mwenyewe huna uhakika na unachonishauri.Here we Go......
Kuna jambo unafanya. Hili jambo unalofanya au unalowaza halipendezi.
Na hili jambo kila ukilifanya lazima uote ndoto hii inajirudia kwa sababu bado unalifanya mara kwa mara.
Unatakiwa ujue kila inapotokea hii ndoto unakuwa unafanya jambo gani.
Achana nalo
Narudia tena👆👆
In fact,Inajirudia Kila baada ya muda
Ndege ni kubwa sana ya abiria.kama hizi za mashirika makubwa hizi Boeing
Inapoteza muelekeo na kuangukia kuelekea chini na mlipuko wake mkubwa hauachi kitu.
Ni zaidi ya mara moja
Sielewi
Ndugu yangu nimekuona pm kimya. Sana TlaatlaahIn fact,
katika ulimwengu wa roho,
hilo ni kama onyo kali unapewa dhidi yako mwenyewe, na kwamba huenda ukaanguka vibaya sana kwa ghafla katika biashara, kazi au maisha yako kwa ujumla.
Ni anguko la ghafla lenye kishindo na athari isiyofichika mbele ya jamii. Kila mtu ataona. Na kila mtu atashangaa kulikoni itokee kwako tofauti na wakujuuavyo.
Tangu sasa,
mtangulize Mwenyezi Mungu katika kila kila hatua na katika kila unalotegemea kulifanya siku za usoni, otherwise anguko la ghafla la fedheha linaweza kukuumbua.
Damu ya Yesu Kristo wa Nazareth, ikufunike na kukuepusha na kila hila iliyoelekezwa kwako na wabaya wako.
kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, Aimen 🐒
Sawa sawa z🙏nimekusoma gentleman,
I'm working on it, subra kidogo tu 🐒
Washauri wa ndoto ni matapeli sana, unachoota wewe kipo katika maisha yako. Kama kuna mtu atakutafsiria tofauti ujue anakudanganya. Dreams reflect your being. And this is best answer I could ever give you dearest.Bado.hata we mwenyewe huna uhakika na unachonishauri.
Mi mwenyewe sijui.
Asante Kwa ushauri mkuu
Na hii Hali ya ndoto kujiendeleza inamaana gani? Yaani naota kidogo Leo halafu kesho au keshokutwa ndoto inaendelea kidogo kutoka pale ilipoishia. Imenitokea hii mara kadhaaKuota ndege inaanguka na kulipuka mara nyingi huashiria hofu kubwa ya kupoteza udhibiti wa mambo yako, hofu ya kushindwa kufikia malengo makubwa, au kukabiliwa na mabadiliko makubwa na ya ghafla katika maisha yako.
Kisaikolojia na kiroho, ndoto hii haimaanishi kuwa utapata ajali halisi ya ndege. Badala yake, inaakisi kile kinachoendelea ndani ya akili na hisia zako.
Tawile mkuu Kwa kuniita apa nitampa majibu japo umenibland sana ad nikastuka🤪🤪,alafu uyo AI ndo mdudu Gani,apa ujinini hatumjui😁😁😁Dogoli kinyamkela mganga mwenye pesa nyingi mjini.
Tafsiri ndoto au hadi utumie Majinn Ai ?
Kemea hajali hiyo isitokee na omba Mungu hahizuhieInajirudia Kila baada ya muda
Ndege ni kubwa sana ya abiria.kama hizi za mashirika makubwa hizi Boeing
Inapoteza muelekeo na kuangukia kuelekea chini na mlipuko wake mkubwa hauachi kitu.
Ni zaidi ya mara moja
Sielewi