Napanga kusafiri leo usiku Arusha - Mwanza (kuanzia saa moja usiku) napata gari wakuu

Napanga kusafiri leo usiku Arusha - Mwanza (kuanzia saa moja usiku) napata gari wakuu

Joined
Jun 29, 2022
Posts
15
Reaction score
28
Wakuu natumaini mko poa

Nampango wa kusafiri kutoka Arusha kuelekea Mwanza leo mida ya jioni kuanzia saa moja usiku, hivi naweza tumia usafiri gani kuelekea huko leo jioni, kama kuna gari za binafsi, IT au gari ya mzigo ambayo naweza pata naomba tupeane connection wakuu [emoji1545]
 
Gari zimejaa tele fika namanga kachukue gari za Nairobi ukifika Nairobi utapata bus za Mwanza. Kenya bus utembea usiku hadi Saa tano asubui upo Mwanza kesho
 
Back
Top Bottom