Chumba sebule jiko pamoja na choo chake kinapangishwa maeneo ya savei dakika 7 tokea mlimani city. Bei yake ni sh 180, 000/= inahitajika kodi ya mwaka.
Nb hakuna uzio ila kuna usalama na parking kwa wale mwenye gar. Hakuna dalali. Kwa atakayekiitaji awasiliane na mimi. 0682540067