ndugu yako
Senior Member
- Mar 30, 2013
- 193
- 97
Habar zenu wakuu, mwishoni mwa mwezi wa saba nilipata chumba cha self conteiner maeneo ya banana Ukonga, ila kwa bahati mbaya nimepata uhamisho wa kikazi hivyo basi natafuta mtu atakayeweza kupanga hicho chumba na kunirudishia pesa yangu.
Chumba bei ni elfu 45 kwa mwezi (hakuna malipo ya dalali) chumba ni self conteiner, chumba kina umeme, chumba hakina singboard na hakijapakwa rangi, maji yapo karb na ni mwendo wa dakika 3-5 kutoka kituo cha daladala cha Banana!!!
Kwa anayekihitaji ani-pm!
self conteiner ni kitu gani?
Yan chumba hakijapakwa rangi, kilikuwa kpya, ila matofali yamefunikwa na mchanga!!Self contained hakina rangi wala seilingboard.....hakina rangi ipi?
mkuu nilikosea, nmeisharekebisha!!
mkuu nilikosea, nmeisharekebisha!!