middo lulyheart
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 260
- 98
Habari zenu,
Nina jengo kubwa la biashara napangisha lipo eneo la mbalizi road, zilipo kuwa ofisi za finca.
Mawasiliano +255657496629, +255757363601
Unapangisha jengo zima? lina vyumba vingapi, vina ukubwa gani? finishing ikoje? Parking? bei? Unaweza kuweka picha mbili tatu?
Asante.
Ni jengo la ghorofa moja but napangisha flow ya chin finishing iko kamili gypsum, tiles na Alluminium milangoni na madirishani kuhusu parking inaweza kuchukua walau magari matano mpaka saba kwasababu ni barabarani
Aghahhhahhhhaaa kama tuko kituoni bwana ahhahha yaan wewe unanifurHisha na hizi commenta
hapo chini kuna vyumba vingapi na vina ukubwa gani? wa juu anaanya biashara gani? halau haujataja bei mkuu wangu!
hapo chini kuna vyumba vingapi na vina ukubwa gani? wa juu anaanya biashara gani? halau haujataja bei mkuu wangu!
Juu ni makazi ya mtu, bei nadhani mpaka mtu aone kitu husika
Si upige simu utajibiwa
kwani ikiandikwa hapa au inbox tatizo mkuu? mzungu kesharahisisha mambo, simu ni ya mwisho kabisa baada ya kuridhika na picha na kuona bei iko ndani ya budget!
:a s 11:hebu uko