Napangisha nyumba yangu ipo Kigamboni Toangoma

Hiyo bei ni halal kwa mandharii ya hii nyumba. Tatizo ni huko iliko hii Nyumba. Umesema ni tuangoma eeee!?
 
parefu mno....mshahara wa mtu huo baba so sad

watapatikana tu labda si unajuaa binadamu kiuwezo hatuko sawa wengine hiyo kama punje la mchele tu kutoa heheheh
 
wenye nyumba wa Tanzania wanafanya maisha ya watanzania wengi yawe magumu sana.
Kodi kubwa na isitoshe wanataka kwa mwaka.
Yaani mara kumi Uganda, Rwanda na Kenya.
Kodi ni mwezi kwa mwezi kama Real Insurance.
Watanzania tutabadilika lini aisee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…