Napangisha Nyumba

ismase

Senior Member
Joined
Feb 12, 2010
Posts
116
Reaction score
16
Ndugu wana JF, Kuna nyumba yangu ipo kimara kilungule karibu na uwanjani. unaweza kushukia korogwe au kimara mwisho ukipenda. nyumba ina vyumba vitatu, sitting room, choo na bafu, na jiko. nyumba iko kwenye hali nzuri inavutia. kwa wanaohitaji wawasiliane na ndugu yangu ambaye yupo hapo jirani kupitia simu ya kiganjani 0784514245. Bei ni Tsh 150,000 kwa mwezi na unaweza kulipa kwa miezi sita au mwaka. karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…