Napata changamoto hii nikiwa natumia X (Twitter) Msaada tafadhali!

Napata changamoto hii nikiwa natumia X (Twitter) Msaada tafadhali!

mapema

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
640
Reaction score
1,881
Toka 2021 nimekuwa nikitumia Twitter ku comment na ku like ku following, ila miaka ya hivi karibuni imenizuia kufanya hayo yote isipo kuwa ku like.

Naomba msaada kama kuna namna ya kufanya niweze kutumia kwa ukamilifu, nimejaribu kuwasiliana nao inashindikana au sijajua namna nzuri ya kuwasiliana nao, nimejaribu kufungua account mpya imeshindikana pia.

Natanguliza shukurani.


Screenshot_20240924-102014_X.jpg
 
Back
Top Bottom