Napata choo laini sana, tatizo ni nini?

Asovene

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
213
Reaction score
216
Habari zenu madakitari mliopo hapa jf doctor...
Naomba mnisaidie,kwa muda sasa napata choo kama bata vile yaani kama una harisha lakini siyo,nakunya choo kinatawanyika badala ya kufyatua makimba kama zamani.
Nakumbuka zamani mtu unafyatua pyaaa...huna haja ya kuchamba lakini siku hizi hali ni tofauti huwezi kunya bila kuchamba tena maji yawe mengi.
JE KUNA TATIZO GANI HAPA???
 
aiseeee kwaiyo wewe nataka kitu chakimba rejateja hutaki? ndo nilichokielewa mimi au
 
Pole sana Mkuu Asovene...... inawezekana una Tatizo la Typhod hivyo nenda kapime na upate dawa haraka.......
 
Kuna uzi ulinichekeshaga mpaka nililiaa eti alikua akienda chooni anajisaidia choo kinajaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo we hupendi kuchamba aisee we mchafu kinooma
 
[emoji1][emoji1] mkuu usiwe mvivu kuchamba after kunya makimba bhana
 
Kuna uzi ulinichekeshaga mpaka nililiaa eti alikua akienda chooni anajisaidia choo kinajaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo we hupendi kuchamba aisee we mchafu kinooma

JF inapunguza stress sana, yaani unajishtukia umecheka tu!
 


Sema we uko wapi apo? au unataka ipi?
 
Labda kipenyo chako cha sehem ya haja kubwa kimeongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…