Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima sana wanajamvi.
Rostam Aziz majuzi alitufungua kwamba Mahakimu,Majaji wetu unaweza kuwapigia simu wakatoa uhamuzi usio wa haki.
Ni kweli Rostam aliomba msamahaa lakini pamoja na kuomba msamaha hakuondoi hali halisi kwamba mahakama zetu zimekuwa zikitoa uamuzi wa hovyo hovyo.
Wakati tukisubiri hukumu ya kesi ya uporaji wa Bandari zetu naanza kupata hisia mbaya mbaya hasa tukizingatia rushwa iliyotumika kuingia mkataba mbovu.
Waarabu wana fedha watashindwa nini kuwahonga majaji watatu !.
Naomba kuwasilisha.
Ngongo kwasasa Dubai - Makao Makuu DP World.