Napata Maumivu chini ya tumbo la uzazi kila ninapokuwa kwenye danger days

Napata Maumivu chini ya tumbo la uzazi kila ninapokuwa kwenye danger days

Livanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
470
Reaction score
148
Nimekuwa nikipata maumivu chini ya tumbo la uzazi kila ninapokuwa kwenye danger days. Sijui sababu ila nakumbuka nimeanza kupata maumivu baada ya kujifungua.

Hali hii inanipa wakati mgumu sana kwani kuna wakati hata kusimama inakuwa shida na kama gari inapita kwenye barabara yenye makorogesheni napata maumivu pia. Mbaya zaidi hata wakati wakufanya tendo la ndoa napata maumivu kiasi kwamba nashindwa kufanya.

Hali hii inanipa wasiwasi na wakati mgumu naomba msaada wenu tafadhali.
 
Back
Top Bottom