Habari zenu wapenzi? Naomba msaada wenu Mimi huwa napata maumivu makali kwenye mstar wa haja kubwa yani panakuwa panavuta kama vile mtu ananichoma na kisu kikinikamata huwa nashindwa kujigeuza wala kuendelea kutembea hata kama niko barabarani kikianza kunivuta nasimama nashindwa kutembea mpaka kipoe, mwanzo kilikuwa kinanitokea nikiwa nakaribia kuingia period tu ila sahivi kinanitokea Mara nyingi hata kama siko period kama Jana usiku kimenivuta kama masaa 3 hivi nilikuwa siwez hata kujigeuza naskia tako linavuta sikupata usingizi kwa kweli naomba mnisaidie tatizo ni nini na tiba yake