napata maumivu makali kwenye mstar wa haja kubwa yani panakuwa panavuta kama mtu ananichoma na kisu

tembocard

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
247
Reaction score
121
Habari zenu wapenzi? Naomba msaada wenu Mimi huwa napata maumivu makali kwenye mstar wa haja kubwa yani panakuwa panavuta kama vile mtu ananichoma na kisu kikinikamata huwa nashindwa kujigeuza wala kuendelea kutembea hata kama niko barabarani kikianza kunivuta nasimama nashindwa kutembea mpaka kipoe, mwanzo kilikuwa kinanitokea nikiwa nakaribia kuingia period tu ila sahivi kinanitokea Mara nyingi hata kama siko period kama Jana usiku kimenivuta kama masaa 3 hivi nilikuwa siwez hata kujigeuza naskia tako linavuta sikupata usingizi kwa kweli naomba mnisaidie tatizo ni nini na tiba yake
 
Pole sana...umewahi kwenda hsptl kwa tatizo hilo?!
 
Hicho iinaitwa "kidaaado" mwenye kabila sawa na langu kaelewa ,,uwiiii kinauma balaaa sasa usiombe kikukute ukiwa unapuu yan utataman ukatishe kupuu katkt si kwa hayo maumiv

Mpaka leo sijajua tiba
 
Pole sana dada.

Wahi hospital hiyo sio hali ya kawaida.
 
Inaweza kuwa anal fissure au hemorrhoids kwa uchunguzi nenda hodp
 
nenda hospitali ! japo kunywa maji mengi na pia punguza uzito ikiwezekana
 
Pole sana, ni kwenda tu hospitali dada, hauna namna. Hii dunia ina maradhi ya namna tofauti. Mungu akufanyie wepesi.
 
Nenda kwa Hosp

Anal fissure mpasuko kwenye kuta za anus

Hemorrhoid ni twisting za vein kwenye anus zinazoleta kama uvimbe na wakati mwingine zaweza kupasuka na kutoa damu
 
Nenda kwa Hosp

Anal fissure mpasuko kwenye kuta za anus

Hemorrhoid ni twisting za vein kwenye anus zinazoleta kama uvimbe na wakati mwingine zaweza kupasuka na kutoa damu
Hii inaweza kusababishwa na mapenzi kinyume na maumbile mkuu, sio?
 
Pole sana my dada, fanya uwe unapapaka mafuta pawe palaini muda wote hasa wakati wa kutembea na baada ya hapo wahi hospital kwa uchunguzi na tiba kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…