Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 406
Habari zenu wakuu.
Wakuu naelewa wazi kabisa kwamba mwanaume halisi kikawaida ni lazima atokewe/awe ana erect asubuhi asubuhi anapoamka.
Ila kwangu sasa nahisi utofauti kidogo, jamani hii erection inakuwa na maumivu makali sana, uume unasimama kwa kukaza mnooo tena kwa muda mrefu sana! ishu inaweza nianza saa kumi na moja alfajiri mpaka saa kumi na mbili,sometimes nalazimika kulala chali tu nisiumie.
Wakuu naombeni hekima zenu, hii erection japo najua ndiyo dalili ya uanaume halisi, ila sasa kwangu inakuwa na maumivu makali sana.
Karibuni.