Napata maumivu makali sana katika uume wangu, msaada tafadhali

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
406
Habari zenu wakuu.

Wakuu naelewa wazi kabisa kwamba mwanaume halisi kikawaida ni lazima atokewe/awe ana erect asubuhi asubuhi anapoamka.

Ila kwangu sasa nahisi utofauti kidogo, jamani hii erection inakuwa na maumivu makali sana, uume unasimama kwa kukaza mnooo tena kwa muda mrefu sana! ishu inaweza nianza saa kumi na moja alfajiri mpaka saa kumi na mbili,sometimes nalazimika kulala chali tu nisiumie.

Wakuu naombeni hekima zenu, hii erection japo najua ndiyo dalili ya uanaume halisi, ila sasa kwangu inakuwa na maumivu makali sana.


Karibuni.
 

Hii kitu ya erection ya muda mrefu iliwahi nisumbua, ila kuna jamaa mmoja aliniambia ninywe maji inasaidia, nikipata hiyo kitu nikinywa maji mengi, inaleta mtulizo. Hasa sijui ni dawa kweli au vip
 
Hii kitu ya erection ya muda mrefu iliwahi nisumbua, ila kuna jamaa mmoja aliniambia ninywe maji inasaidia, nikipata hiyo kitu nikinywa maji mengi, inaleta mtulizo. Hasa sijui ni dawa kweli au vip

Mkuu ni kweli kabisa hata mimi iliwahi kunisumbua sanaaa kunywa maji ya baridi kabla ya kulala na asubuhi pindi tu ukiamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…