Miss Mbunda
Member
- Jan 22, 2013
- 36
- 14
ngoja waje wajuzi wa mambo hayo,wadada fungukeni hapo
Habari zenu wanajamii forum!Mimi ni msichana wa miaka 25 na nna mpenzi wangu ambaye tunapendana tu,tatizo ni kwamba ninapokutana naye kimwili raundi ya kwanza huwa naenjoy ila raund zinazofuata huwa sijisikii tena ham ya kufanya mapenzi na matokeo yake huwa nasikia maumivu makal sehemu za siri kiasi kwamba huwa sioni raha ya mapenzi bali karaha tupu!na mpenz wangu huwa anajitaidi sana kuniandaa lakini naona haisaidii!Je wanajamii hili ni tatizo la kwenda hospitali?naomben ushaui wenu ndugu zangu sababu nimekuwa nikipata tabu hii kwa mda mrefu sasa.
Ni dalili za ugonjwa.nenda hosp watakusaidia zaidiHabari zenu wanajamii forum!Mimi ni msichana wa miaka 25 na nna mpenzi wangu ambaye tunapendana tu,tatizo ni kwamba ninapokutana naye kimwili raundi ya kwanza huwa naenjoy ila raund zinazofuata huwa sijisikii tena na matokeo yake huwa nasikia maumivu makal sehemu kiasi kwamba huwa sioni raha ya mapenzi bali karaha tupu!na mpenz wangu huwa anajitaidi sana kuniandaa lakini naona haisaidii!Je wanajamii hili ni tatizo la kwenda hospitali?naomben ushauri wenu ndugu zangu sababu nimekuwa nikipata tabu hii kwa mda mrefu sasa.
Acha umalaya subili ndoa, usiwe mnafiki kiasi hicho. Ww ni msafi kiasi gan mpaka umuite mwenzio malaya? Kwani ww ulianza kufanya mapenzi ulipoingia kwenye ndoa(ikiwa upo kwenye ndoa) au unasubiri ndoa ndo uanze? Acha udhalimu