napata maumivu nyuma ya shingo kwa chini mpaka maeneo ya mgongo tatizo ni nini msaada jamani wataala

napata maumivu nyuma ya shingo kwa chini mpaka maeneo ya mgongo tatizo ni nini msaada jamani wataala

Nipishe

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
5
Reaction score
0
napata maumivu nyuma ya shingo kwa chini mpaka maeneo ya mgongo tatizo ni nini msaada jamani wataalamu
 
napata maumivu nyuma ya shingo kwa chini mpaka maeneo ya mgongo tatizo ni nini msaada jamani wataalamu
 
Tatizo hilo limeanza lini??

Vip kuna mazoezi yoyote au kazi yoyote uliyofanya karibuni??

Au godoro /mto unao lalia upo kwenye hali gan??
 
nenda hosp kachek, wkt mwingine BP ikipanda huwa unaweza kuhisi maumivu upande wa kisogoni kuelekea shingoni.
 
Pole! Hapo kuna mgongo wa juu na chini. Hayo maumivu yanashuka mpaka mgongo wa chini? Kama ndio basi nenda hospital!
 
limenza leo na godoro liko poa hata mito pia ni migumu so sijaelewa hapo tatizo ni nini?
 
Labda una cyber stress. Jaribu ktumia BETAPYEN.
 
Back
Top Bottom