juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
pole bro,huyo demu alikuwa na UTI kwahiyo wewe tafuta dawa zinaitwa septrin izo ndio kiboko ya maambukizo hayo,hiyo ni uti asa ukiikawiza unaenda chomwa sindano hospitalNilijiapiza sitatumia condom tena,jumapili kuna demu alikuja geto nikamgegeda,ilibidi nisivunje kiapo cha nikamgegeda pekupeku,ila cha ajabu ilipofika jumatatu nikaanza jisikia maumivu kwenye dushe kila nikienda kukojoa,naumia sana,nikahisi nina gono,nimeenda hospital kupima eti naambiwa mkojo ni mchafu.sasa najiuliza ni nini tatizo? Maana naumia sana kila ninapokojoa.kwa kweli nimechanganyikiwa sana,
Hizo ni dalili za gono wala usijifariji kwa lolote. Ukipima mkoja ukiwa na STD lazima utaambiwa mkojo ni mchafuNilijiapiza sitatumia condom tena, jumapili kuna Mwananmke alikuja geto nikafanya naye mapenzi. Nlifanya naye mapenzi bila Kinga, ila cha ajabu ilipofika jumatatu nikaanza jisikia maumivu kwenye Uume kila nikienda kukojoa naumia sana.
Nikahisi nina gono, nimeenda hospital kupima eti naambiwa mkojo ni mchafu, sasa najiuliza ni nini tatizo? Maana naumia sana kila ninapokojoa.
Kwa kweli nimechanganyikiwa sana.
Aliniandikia dawa gharama ikaja 20000, mi nikaona ni nyingi so sikuchukua.nimeenda tu nakunywa maji mengiDaktari alivyokwambia mkojo mchafu hakukupa na dawa?
Sawa mkuu asante sanapole bro,huyo demu alikuwa na UTI kwahiyo wewe tafuta dawa zinaitwa septrin izo ndio kiboko ya maambukizo hayo,hiyo ni uti asa ukiikawiza unaenda chomwa sindano hospital
Kama ulikula kinyume cha maumbile unapata UTI hii ni ZAWADI yako anza dawa mapemaNi UTI hyo
Itakua mmoja wenu alikua nayo
Acha kuwaza ushetani,naanzaje sasa kula sehemu ambayo unapita uchafu? Kwanza hadi kichefuchefu mimi siwezi upuuzi kama huoKama ulikula kinyume cha maumbile unapata UTI hii ni ZAWADI yako anza dawa mapema