Napata maumivu ya koo

Napata maumivu ya koo

tashyno abas

Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
12
Reaction score
8
Jamani nimeenda sana hospital, nasumbuliwa sana na koo, hasa nikiongea na hushika moto kooni.

Nashukuru mungu wakati wa kula nakula vizuri tu sisikii maumivu.

Naombeni ushauri wenu wakuu au mwenye kujua doctor mzr wa koo! Aniambie
 
Jamani nimeenda sana hospital, nasumbuliwa sana na koo, hasa nikiongea na hushika moto kooni. Nashukuru mungu wakati wa kula nakula vizuri tu sisikii maumivu. Naombeni ushauri wenu wakuu au mwenye kujua doctor mzr wa koo! Aniambie
Ulikuwa unazama chumvini?
 
Jamani nimeenda sana hospital, nasumbuliwa sana na koo, hasa nikiongea na hushika moto kooni.

Nashukuru mungu wakati wa kula nakula vizuri tu sisikii maumivu.

Naombeni ushauri wenu wakuu au mwenye kujua doctor

"Hushika moto kooni."
Pole sana.
1: Una maana gani hapa☝
2: Una miaka mingapi?
3: Hili tatizo lina muda gani?
4: Lilitokea ghafla au taratibu?
5: Maumivu yanaendelea kuwa makali au yako vilevile?
6: Kuna mabadiliko youote ya sauti?
7: Unafanya kazi yoyote inayohusisha matumizi ya muda mrefu au nguvu ya sauti?
8: Ulishawahi kufanya vipimo vyovyote vya koo lako?
9: Ulishawahi kumwona daktari bingwa yeyote wa koo?
 
1. Mbele ya shingo yangu hupata moto mpka kutoka na jasho 2.26 3. Inafika miezi 11 4 taratibu 5. Yanapungua 6. Hapana 7. Hapana 8. Ndio culture na kile cha kamera ambayo unainginzwa hadi tumboni nilipima wakaniambia nipo fresh 9. Ndio
 
Ahsante,
Kwa kipindi husika umekuwa na hali ya stress, majukumu mengi?
 
Ivi ni kweli stress husababisha koo kuuma , napitia msongo wa mawazo ndani ya miezi miwili now nina shida ya koo kuuma ila nameza mate vizuri
 
Yap, inaitwa globus hystericus/anxiety/pharyngis.

Ukitatua issue za stress ulizonazo na yenyewe hupotea taratibu.
 
Back
Top Bottom