tashyno abas
Member
- Jul 8, 2015
- 12
- 8
Ulikuwa unazama chumvini?Jamani nimeenda sana hospital, nasumbuliwa sana na koo, hasa nikiongea na hushika moto kooni. Nashukuru mungu wakati wa kula nakula vizuri tu sisikii maumivu. Naombeni ushauri wenu wakuu au mwenye kujua doctor mzr wa koo! Aniambie
Hapanaa sijawai kufanyaa iyo inshu kabsaaUlikuwa unazama chumvini?
Jaribu kwenda hospital za private kubwa km Agakhan n.kHapanaa sijawai kufanyaa iyo inshu kabsaa
Jamani nimeenda sana hospital, nasumbuliwa sana na koo, hasa nikiongea na hushika moto kooni.
Nashukuru mungu wakati wa kula nakula vizuri tu sisikii maumivu.
Naombeni ushauri wenu wakuu au mwenye kujua doctor
Pole sana."Hushika moto kooni."
1. Mbele ya shingo yangu hupata moto mpka kutoka na jasho 2.26 3. Inafika miezi 11 4 taratibu 5. Yanapungua 6. Hapana 7. Hapana 8. Ndio culture na kile cha kamera ambayo unainginzwa hadi tumboni nilipima wakaniambia nipo fresh 9. NdioPole sana.
1: Una maana gani hapa☝
2: Una miaka mingapi?
3: Hili tatizo lina muda gani?
4: Lilitokea ghafla au taratibu?
5: Maumivu yanaendelea kuwa makali au yako vilevile?
6: Kuna mabadiliko youote ya sauti?
7: Unafanya kazi yoyote inayohusisha matumizi ya muda mrefu au nguvu ya sauti?
8: Ulishawahi kufanya vipimo vyovyote vya koo lako?
9: Ulishawahi kumwona daktari bingwa yeyote wa koo?
1. Mbele ya shingo yangu hupata moto mpka kutoka na jasho 2.26 3. Inafika miezi 11 4 taratibu 5. Yanapungua 6. Hapana 7. Hapana 8. Ndio culture na kile cha kamera ambayo unainginzwa hadi tumboni nilipima wakaniambia nipo fresh 9. Ndio
Kawaida Tu.Ahsante,
Kwa kipindi husika umekuwa na hali ya stress, majukumu mengi?
26 hapana sinywiUna umri gani...
Je, una historia ya kutumia vileo hasa vikali au matumizi ya sigara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi ni kweli stress husababisha koo kuuma , napitia msongo wa mawazo ndani ya miezi miwili now nina shida ya koo kuuma ila nameza mate vizuriAhsante,
Kwa kipindi husika umekuwa na hali ya stress, majukumu mengi?
Yap, inaitwa globus hystericus/anxiety/pharyngis.Ivi ni kweli stress husababisha koo kuuma , napitia msongo wa mawazo ndani ya miezi miwili now nina shida ya koo kuuma ila nameza mate vizuri
Stress mbaya sana .ilifika kipindi mpaka misuli inaumaYap, inaitwa globus hystericus/anxiety/pharyngis.
Ukitatua issue za stress ulizonazo na yenyewe hupotea taratibu.