napata wapi baiskeli za umeme

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
habari wakuu,naomba mnisaidie ni mahali gani kwa dsm wanauza e bikes,na brand gani nzuri,imara na yenye spear zinazopatikana kwa wepesi,pia nisaidieni mawazo mengine kuhusu hizi ebikes kwa wazoefu..
asanteni ninawakilisha wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zipo kariakoo, kuna frem ya mhindi pale karibu na bank ya DTB anauza ebike (ipo kati ya kituo cha faya na msimbazi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
poa kaka,kwa hiyo sifiki ile sheli ya kona ya faya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafika, hiyo frem ipo kati ya kituo cha faya na kituo cha msimbazi. Unaweza ukashuka faya ukawa unatembea kama unaelekea msimbazi au ukachukia msimbazi ukawa unatembea kama unaelekea faya. Ukiikaribia bank ya DTB utaziona zipo nyingi kwa nje ya frem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulifanikiwa kupata iyo baiskeli ya umeme? naomba mrejesho tafadhali kama hautajali
 
Mkuu ulifanikiwa kupata iyo baiskeli ya umeme? naomba mrejesho tafadhali kama hautajali
japo bado sijanunua,ila zipo pale msimbazi kama unaele fire upande wa kushoto,zinaitwa Linkal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…