Napata wapi dalali wa magari (used) ambaye ni muaminifu na anakulengesha kwenye gari nzuri

polokwane

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Posts
3,361
Reaction score
5,842
Shida ndio hiyo kwanye mada.kama kuna anaye mfahamu dalali au kampuni inayo uza magari used na bei nzuri sio used kutoka japan iwe used hapa hapa home , used zabjapan bei imechangamka

Maeneo iwe Mwanza, Dar, Arusha au Dodoma
 
Dalali wa kazi gani,nunua gari kutoka kwa muuzaji mwenyewe kabisa,upate bei nzuri.
 
Sasa kumtafuta huyo muuzaji wa gari ninayo itaka ndio ndio mtihani ndugu yangu madalali huwa wana tafuta magari sana
 
Shida ndio hiyo kwanye mada.kama kuna anaye mfahamu dalali au kampuni inayo uza magari used na bei nzuri sio used kutoka japan iwe used hapa hapa home , used zabjapan bei imechangamka

Maeneo iwe Mwanza, Dar, Arusha au Dodoma
Kupata gari tumia marafiki na jamaa zako usitumie madalali watakutesa. Utahangaika kukagua magari na hela itaishia kukagua magari
 
Cheki Instagram Roki_magari jamaa yupo swafi Sana. Utapata na namba take huko huko.hatakuangusha kiongozi
 
Mtafute bwana mdogo feisal Madini kule facebook. Anaeleweka eleweka. Na ni mzuri kwenye kunegotiate na wamiliki wa magari.
 
Kama unataka nikupe namba uaminifu asilimia 100
 
Shida ndio hiyo kwanye mada.kama kuna anaye mfahamu dalali au kampuni inayo uza magari used na bei nzuri sio used kutoka japan iwe used hapa hapa home , used zabjapan bei imechangamka

Maeneo iwe Mwanza, Dar, Arusha au Dodoma
Njoo Call_watsapp 0718436694
 
BOSS kama bado unahitaji Gari Mi ninalo nauza ni FUSO Fighter 16 iko vzr, located Sumbawanga
.
0756053213
 
Back
Top Bottom