Napata wapi eneo zuri lenye maji kwa ajili ya kufuga samaki aina ya kambare kwa Mwanza?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Kichwa cha habari cha husika

Hapa inajumuisha
-Sehemu yenye kibali
-Usalama
-Uhakika wa maji
-Isiyo na migogoro
 
Taja location, Mkoa + wilaya. Unaita umbali usizi km ngapi Toka man road ? Ukifafanua hapo utarahisisha kazi Yako.

Eneo ni kanda ya ziwa!!…
Lakini pia kama kuna sehemu ambayo ipo nje ya kanda ya ziwa mfano karibu na ziwa nyasa au tanganyika pia naweza kwenda ili mradi kuwe na fursa nzuri zaidi!!

Kwa sasa ni kanda ya ziwa
Km zozote kutoka main road
wilaya Magu,Misungwi,Ilemela
Mkoa mwanza
 
Unahitaji kufugia ziwani kwenye vizimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…