Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,698
- 1,783
Niko Kibaha Mkuu.. lakini pia hata Iringa nakuwaga mara nyingi..Uko wapi nikuelekeze?
Mkuu.. hii 1HP inaweza ikawa sh ngapi!?? Na kwa dar wapi wanachonga hivyo virungu!??Nunua motor 1HP na ipeleke wakuchongee hicho kirungu. Kirungu hubarishwa mara kwa mara, hivyo chonga vingi kwa matumizi ya baadaye. Kuna michongo ya aina mbalimbali kulingana na ukunaji .