Napata wapi hizi racks za kuku na wanauzaje

Zinaitwa Chicken Cage au wengine huita Battery Cage, kuna makampuni hasa Dar wanauza,bei huanzia 650,000 mpaka 900,000 kwa moja yenye uwezo wa kubeba kuku 96.
Bei inatofautiana kulingana na ubora wa cage kuna ngumu, za kati na zingine ni nyepesi.
 
Ansante mkuu nisadie kujua makampuni yap na contact zao,
 
Nenda Mikocheni karibu na Hospitali ya Kairuki ..kuna duka kubwa tuu utazipata hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…