Napata wapi majiko ya kisasa ya gesi sahani mbili

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Natafuta jiko bora kabisa na la kisasa la plate mbili. Nauliza napata wapi jiko hilo kwa hapa dsm na pia nauliza bei yake.

Nauliza pia bei ya mtungi mkubwa wa gesi bora kabisa.

Aksanteni sana wadau.
 
majiko yapo ya kioo, ya bati. yapo ya kuweka juu ya meza, ya kusimama yenyewe yapo ya kutoboa marble nk. sasa sijui tunaanzia wapi mkuu wangu
 
Westpoint kwangi ndo majiko bora kwa gas na nilinunua laki 20 zamani kidogo sijajua kwa sasa ni bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…