Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Mkopo wa kiasi gani?
Kwa mwezi au mwaka ?
Una dhamana?
Mkopo wako ni mkubwa kiasi cha kuweza kunegotiate riba ?
Anyway, ingia NMB au NBC wana riba poa tu from 15-20, per annum, hizi ndio riba ndogo bongo, hio 10% labda ukikopa $20B wanaweza kukufikiria
Vicoba pekee ndio kuna riba hiyo
Kausha damu jaribu