Napata wapi samaki aina ya kibua kwa mkoa wa Mwanza

Napata wapi samaki aina ya kibua kwa mkoa wa Mwanza

Nahitaji kujua wanakopatikana samaki aina ya kibua au samaki wengine wa baharini mkoani Mwanza, daktari amependekeza nitumie mboga hiyo kuimarisha afya .

Tafadhali kama unajua wanakopatikana tusaidiane
Samaki wa bahari kanda ya ziwa???..jaribu kwa serious mleta uzi..siku ziwa likikauka ndio myb ziataanza kuletwa mwanza hizo samaki za baharini.

Nakushauri agizia kutoka pwani..hapo mwanza huwezi zipata.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nahitaji kujua wanakopatikana samaki aina ya kibua au samaki wengine wa baharini mkoani Mwanza, daktari amependekeza nitumie mboga hiyo kuimarisha afya.

Tafadhali kama unajua wanakopatikana tusaidiane
mhenga ngosha muda umekutupa mkono👋 yan sato umeona awatoshi mpaka uanze kutafuta kibuwa😎
 
Back
Top Bottom