Napata wapi semina ya ufugaji wa kuku?

Ramaa21

Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
19
Reaction score
12
Jaman wadau wa JF naomba kupata direction ya kupata mfunzo/seminar ya ufugaji wa kuku
 
Aina gan ya Kuku unataka kufuga....?
 
Kipindi cha nyuma Interchick walikua na utaratibu wa kutoa mafunzo kila jumamosi kwa wateja wanao nunua vifaranga na chakuka kwao ilikua kila Jumamosi katika ufugaji wa kuku aina ya Broiler, Tanbro na Layers. Jaribu kuwacheki kama bado wanaendelea na huo utaratibu.
 
Jaman wadau wa JF naomba kupata direction ya kupata mfunzo/seminar ya ufugaji wa kuku
Kuna rafiki yangu ndio fani yake hiyo nitakuunganisha naye ukiwa tayari yuko Morogoro atakuelekeza kwa online kama uko mkoa tofauti,nitakutumia namba yake pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…