Napata wapi soko la soya la uhakika?

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348
Heshima kwenu ndugu zangu wa jf.

Nije moja kwa moja kwenye mada. Nategemea kukusanya Soya zipatazo tani 20 na kuendelea. Mwenye kujua soko lake la uhakika naomba anijuze ndugu zangu.
Natanguliza shukrani zangu.
 
U

Uliamuaje kulima wakati hujui soko liko wapi? hapo ndipo tunapokosea sana!
 
U

Uliamuaje kulima wakati hujui soko liko wapi? hapo ndipo tunapokosea sana!
Sio kwamba Soko halipo kabisa, Stakabadhi kagharani naweza uza ila bei haijawa Rafiki Sana.
 
Kanuni ya Kilimo ni anzia sokoni. Kabla ya kuzalisha au kufanya biashara yoyote ya mazao jiridhishe kwanza kuhusu upatikanaji wa soko.
 
Unzaje hiyo soya kwa kilo, naweza kuchukua soya tani zote 20 kwa mara 1. Nicheki pm
 
Kanuni ya Kilimo ni anzia sokoni. Kabla ya kuzalisha au kufanya biashara yoyote ya mazao jiridhishe kwanza kuhusu upatikanaji wa soko.
Soko si kwamba alipo wapo watu wanaohitaji Ila beki zao ziko chini kidogo mfano Stakabadhi galani.
 
Heshima kwenu ndugu zangu wa jf.

Nije moja kwa moja kwenye mada. Nategemea kukusanya Soya zipatazo tani 20 na kuendelea. Mwenye kujua soko lake la uhakika naomba anijuze ndugu zangu.
Natanguliza shukrani zangu.
0744 838484.kiongozi wasiliana nasi kupitia namba hizo kwa maelezo zaidi.nahusika na ukusanyaji/ununuaji wa mazao aina ya maharagwe,ufuta,mahindi ya njano,mahindi ya kawaida,nk.asante
 
Cheki huyu
 
Attachments

  • Screenshot_20221124_101749.jpg
    81.5 KB · Views: 43
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…