kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 366 Feb 6, 2020 #1 Nauliza vyuma vya kutengenezea jukwaa kuweka wakati wa kupiga plaster. Navipata wapi na Sh ngapi. Mfano kama huu chini:
Nauliza vyuma vya kutengenezea jukwaa kuweka wakati wa kupiga plaster. Navipata wapi na Sh ngapi. Mfano kama huu chini:
TheDreamer Thebeliever JF-Expert Member Joined Feb 26, 2018 Posts 2,490 Reaction score 3,584 Feb 14, 2020 #2 kanyagio said: Nauliza vyuma vya kutengenezea jukwaa kuweka wakati wa kupiga plaster. Navipata wapi na Sh ngapi. Mfano kama huu chini: View attachment 1348590 Click to expand... Tazara
kanyagio said: Nauliza vyuma vya kutengenezea jukwaa kuweka wakati wa kupiga plaster. Navipata wapi na Sh ngapi. Mfano kama huu chini: View attachment 1348590 Click to expand... Tazara
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,623 Reaction score 13,759 Feb 14, 2020 #3 Kkoo kibaoo tu ila kuwa makini. Zinauzwa kwa pisi moja moja bei zinabadilika badilika nenda kkoo gerezani. Wapo wenye nazo pia wanakodisha Sent using Jamii Forums mobile app
Kkoo kibaoo tu ila kuwa makini. Zinauzwa kwa pisi moja moja bei zinabadilika badilika nenda kkoo gerezani. Wapo wenye nazo pia wanakodisha Sent using Jamii Forums mobile app
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Feb 15, 2020 #4 Kuwa makini usije uziwa na vyuma vya SGR Ukaenda kunyea ndoo.!