Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Bila shaka wewe ni The Gunners wa kutupwq😂 hapo kwanza ncheke!
Wajitahidi wasije wakamruhusu Man city akakaa pale juu kwasababu itakuwa bye bye ukizingatia msimu huu wana halaand na nadhani Klopp na Liverpool yake ni mashahidi.Wakuu wa jukwaa heri ya mwaka mpya.
Mnauonaje mwendo wa Arsenal kwenye mbio za ubingwa pale EPL.
Arsenal kama utani, anakimbiza mwizi kimya kimya, ligi ilivyoanza tukasema hafiki krisimasi atakuwa kashatoka kileleni.
Krisimasi pamoja na mwaka mpya umefika, naona kasi yao inazidi. Tunaemtegemea Man City nae anaanza kudondosha alama. Sasa gap ni alama 7.
Naanza kupatwa na wasiwasi, Arsenal chini ya Arteta inaweza ikatwaa ubingwa msimu huu kwa udhaifi wa timu kubwa nyingine.
Wasiwasi wangu ni kelele zao. wanasumbua sana, tutaweka wapi sura zetu?
Hata usipokuwa na wasiwasi arsenal wana timu nzuri na wanaweza wakatwaa ubingwa, wasiwasi wako wewe sio kigezo cha arsenal kutokuchukua ubingwa, na unaposema arsenal inaweza kuchukua ubingwa kwa udhaifu wa timu nyingine kumbuka hata hao wengine waliokuwa wanachukua ubingwa sababu ni hiyo hiyo udhaifu wa timu nyingine, usiishi kwa kukariri zama zimebadilika sasa.Naanza kupatwa na wasiwasi, Arsenal chini ya Arteta inaweza ikatwaa ubingwa msimu huu kwa udhaifi wa timu kubwa nyingine.
Mkuu arsenal abebe ubingwa kwasababu ya udhaifu wa timu nyingine? Huo ni utani. Arsenal atabeba ubingwa kwasababu ndio timu bora zaidi msimu huu.Naanza kupatwa na wasiwasi, Arsenal chini ya Arteta inaweza ikatwaa ubingwa msimu huu kwa udhaifi wa timu kubwa nyingine.
Wasiwasi wangu ni kelele zao. wanasumbua sana, tutaweka wapi sura zetu?
Daah ndo mshaanza kutusema🤣🤣Mkuu arsenal abebe ubingwa kwasababu ya udhaifu wa timu nyingine? Huo ni utani. Arsenal atabeba ubingwa kwasababu ndio timu bora zaidi msimu huu.
Sura zenu pelekeni saluni mkafanyiwe scrub.😂😂
Utashangaa Newcastle anafungwa kirahisiNgojea tumuone leo kwa new castl
Kunywa maji usiwe sana siriaz...sisi mashabiki wa Man U tutaeka wapi sura zetuHata usipokuwa na wasiwasi arsenal wana timu nzuri na wanaweza wakatwaa ubingwa, wasiwasi wako wewe sio kigezo cha arsenal kutokuchukua ubingwa, na unaposema arsenal inaweza kuchukua ubingwa kwa udhaifu wa timu nyingine kumbuka hata hao wengine waliokuwa wanachukua ubingwa sababu ni hiyo hiyo udhaifu wa timu nyingine, usiishi kwa kukariri zama zimebadilika sasa.
Leo bourn anakufa 3Kunywa maji usiwe sana siriaz...sisi mashabiki wa Man U tutaeka wapi sura zetu
Tumeshinda kama ulivyosema, Casemiro ni 🔥🔥Leo bourn anakufa 3
Ila man u mechi za kushinda analimwaga