fute alexander
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 382
- 148
Hii kufuli nimeipenda.atagegedwa tu pia, ila atabaki kuwa wako hautaporwa.maana km Mimi napenda preggo Ile mbaya .Mpe ujauzito kwanza aende nao mtoto aliye tumboni ataweza kukusaidia usisahaulike uwe unakumbukwa
Sent using Jamii Forums mobile app
nipo wewe tu hata sasa hivi....sijakupiga PINPoa broo, mbn whatsap km umenipiga pin
fresh umeelewekatabia ya kutumia uzi wa mtu kuchati na mtu mwingine mambo yenu binafsi hua inaboa sana mwana
mtoto mjinga wwee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kwel,inategemea na malez aliyonayoHAKUNA BINTI ALIYEKWENDA CHUO KIKUU AKARUDI NA TABIA YA ZAMANI
HAPO HAKUNA CHAKO MKUU, ATAENDA KUGEUZWA KAMA CHAPATI
Kwa hyo kumbe akiwa na akili hachapwi syo? Bas hatuwez kujua maana anaweza kua na akiliKm wewe huchepuki nayeye hachepuki sawa ,, ila km wewe unachepuka lkn ndo mwanamke unayempenda ,Basi nayeye uko atapigwa tuuu..
Aiseee mkuuu kwaufupi umbali nitatizo kubwa sana ,,yaaan ukiwa mbali nmwanamke wao.lazima aliwe ,, ukisafiri ukamwacha mkeo kwamuda mrefu kama hana akili atapigwa tuu.
Alafu wewe mbn mchokoziii Siku zile nilikuchunia nikajua umeelewa kumbe bdo[emoji35]Special wa kwako mwenyewe ni Mondray![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo tukusaidiaje?? Hujaona wengine umetuona sisi tu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji35]tabia ya kutumia uzi wa mtu kuchati na mtu mwingine mambo yenu binafsi hua inaboa sana mwana
Miaka 10 mkuu ulikuwa una uvumilivu wa ajabu, wiki mbili tu baada ya kuimbisha, mtu alishakula mgegedo hata zaidi ya mara tatuUsijali kiongoz,kua na subiri hakikisha mawasiliano ya Mara kwa Mara hayakosekan kama anakupenda kwel na ana malengo wa wewe hawez kugeuka,chuon kuna mambo meng yanayoweza kumbadilisha MTU lakin kubwa kuliko yte ni Uhuru ambao anaenda kukutana nao,so anaweza badilika pia ana asilimia kubwa ya kutobadilika kama anafuata maadili sahihi,
Mi nilipata shida sana mkuu mpka kuoa,toka form 2 naimbisha,ikaja a level naimbisha naambiwa kama unanipenda utanisubiri,kapiga chuo miaka mitano nasubiri tu,mpka kamaliza akanipa mashart hakuna kuduu mpka ndoa,Ila njoo ujitambulishe home,so ni changamoto sana japo nilikua namtembelea kila mwez chuon kwao lakin sikumgusa kabsa,baadae nikapata faida na jibu kwa nn alikua ananizungusha,kumbe bhana alikua hajaguswa aisee toka kuzaliwa,na nikaja kula tunda kwenye honeymoon emagine kiongoz ni msoto gan niliopitia hapo,Ila tu nashukuru hakubadilika alipoenda chuo nam nilikua nawasiwas km ww lakin nilikomaaa mpka Leo kawa mke na watto wawili mungu ametujalia,Ila kuna ugumu sana kama atakutana na kampan isiyoeleweka. Miaka kumi nimesubir nawe nakuomba kua nasubiri kila kitu kina sababu zake. Bora we ulishapewa hata mzigo kdgo Ila mm niliisotea miaka kumi na nikaipata baada ya ndoa. So subir na kama mungu amewapanga mtaoana hakitabadilika kitu... Pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app