Na pia sio kila mwanamke anaweza kua mke,kuna mwanamke na mke so hata unaweza kuwapata Leo wanawake kwa Siku moja hata watatu lakin usipate mke hata kwa miaka kumiMiaka 10 mkuu ulikuwa una uvumilivu wa ajabu, wiki mbili tu baada ya kuimbisha, mtu alishakula mgegedo hata zaidi ya mara tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai wengi wamechange lakin he lni wote?? Kama sio wote it means kuna waliowwza hapa ndo anaweza kua ktk hlo kundi LA kuweza kwa mwanamke wake so sababu hatumjui MTU mwnyewe na hata tukimjua hatuwez kujua anachowaza,alikua na maana kubwa sana kusema subiri kwanza nmalize chuo ili asichanganye kulea na chuo,wengi wamezaa wakiwa chuon na ubaya ufanisi hata wa masomo unapunguaxav bero WENGI WALIENDA NA MALEZ MAZURI LAKINI WAKACHANGE
Hiyo point mkuu wife material wamekua wachache sana kwa miaka hii wanawake wengi ni wa ku hit & run,Na pia sio kila mwanamke anaweza kua mke,kuna mwanamke na mke so hata unaweza kuwapata Leo wanawake kwa Siku moja hata watatu lakin usipate mke hata kwa miaka kumi
Sent using Jamii Forums mobile app
m.av.i yakoKwahiyo tukusaidiaje?? Hujaona wengine umetuona sisi tu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji35]
[emoji15] [emoji15]Kama una wasi wasi muambie asiende chuo na vyeti vyake vyote kikiwemo cha kuzaliwa achome moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure
ebana mwanangu umemalza kila kitu....yani kama somo apo limeisha....Chuo changamoto babii, huyo demu wako labda awe mtu wa kujitegemea kwa kila kitu na anayejitambua.
Kama demu wako ana asili ya ushamba au wale wa kushikwa maskio yani mtu wa kuongozana na mashosti andika maumivu. Pia kama alikuwa anabanwa sana nyumbani ni tatizo jingine hilo.
Chuo ni sehemu nzuri ya kujifunza maisha ila mademu malimbukeni hufanya vituko vya kila aina hebu ona.
1. Kama alikuwa hajui club ataenda tu na pombe atakunywa...
2. Wewe au kwao hamna gari akibebwa kwenye na vijana wenye hayo mamlaka hachomoki...
3. Bata za kila weekend guaranteed kwa viwanja na mahoteli makubwa ya town, lazma sponsor akiomba utamu anapewa tu huku demu akidanganywa ataolewa na huyo jamaa baada ya chuo so hatokuwaza tena...
4. Akiwa kilaza jua kuna kipanga fisi wa darasani atapata fursa akimbana ghetto/hostel na kumpiga pindi kisha kulipwa penzi juu ya deka.
5. Kama alikuwa hajui kuvaa kuna mashosti atakutana nao huko watamvisha viwigi,makucha mpaka skin jeans na vikondom ili aonekane wa kisasa...
6. Kuna vijana wakishua watanashati 24/7 wenye mvuto na mamlaka kama wanaomiliki mageto makali,pesa,magari. Sio ajabu demu wako akakuona kolo tu huendani nae baada ya kuwa anatongozwa sana na watu highclass zaidi na kupelekwa viwanja vya maana.
7. Akiangalia we uwezo wako ghetto t.v chogo, full majaba outing mnaenda beach kimba kula madafu na azam chokstik na diamond karanga. Lazma aone unamchelewesha maisha tu.
ANGALIZO:
Mwaka wa kwanza unaeza maliza nae freshi ila hayo mara nyingi hutokea ndani ya mwaka wa pili wa chuo, we sikilizia tu! Nikushauri tu andaa backup plan in case haya yatatokea maana odds ni 90% likely kwa wasichana wengi!
Ukiona meseji hazijibiwi kwa wakati, namba inatumika sana kuanzia saa 4-6 usiku na pia hakujulii hali siku nzima mpaka umuanze na ukiulizia shida ni nini anakuwa mkali na visingizio ambavyo havikuwepo mwanzoni jua tayari.
We mngese nini??? Nikome fyuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57]m.av.i yako
ma.kimba yakoooWe mngese nini??? Nikome fyuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] stareheee ya b ykoooma.kimba yakooo
[emoji122] [emoji122]Chuo changamoto babii, huyo demu wako labda awe mtu wa kujitegemea kwa kila kitu na anayejitambua.
Kama demu wako ana asili ya ushamba au wale wa kushikwa maskio yani mtu wa kuongozana na mashosti andika maumivu. Pia kama alikuwa anabanwa sana nyumbani ni tatizo jingine hilo.
Chuo ni sehemu nzuri ya kujifunza maisha ila mademu malimbukeni hufanya vituko vya kila aina hebu ona.
1. Kama alikuwa hajui club ataenda tu na pombe atakunywa...
2. Wewe au kwao hamna gari akibebwa kwenye na vijana wenye hayo mamlaka hachomoki...
3. Bata za kila weekend guaranteed kwa viwanja na mahoteli makubwa ya town, lazma sponsor akiomba utamu anapewa tu huku demu akidanganywa ataolewa na huyo jamaa baada ya chuo so hatokuwaza tena...
4. Akiwa kilaza jua kuna kipanga fisi wa darasani atapata fursa akimbana ghetto/hostel na kumpiga pindi kisha kulipwa penzi juu ya deka.
5. Kama alikuwa hajui kuvaa kuna mashosti atakutana nao huko watamvisha viwigi,makucha mpaka skin jeans na vikondom ili aonekane wa kisasa...
6. Kuna vijana wakishua watanashati 24/7 wenye mvuto na mamlaka kama wanaomiliki mageto makali,pesa,magari. Sio ajabu demu wako akakuona kolo tu huendani nae baada ya kuwa anatongozwa sana na watu highclass zaidi na kupelekwa viwanja vya maana.
7. Akiangalia we uwezo wako ghetto t.v chogo, full majaba outing mnaenda beach kimba kula madafu na azam chokstik na diamond karanga. Lazma aone unamchelewesha maisha tu.
ANGALIZO:
Mwaka wa kwanza unaeza maliza nae freshi ila hayo mara nyingi hutokea ndani ya mwaka wa pili wa chuo, we sikilizia tu! Nikushauri tu andaa backup plan in case haya yatatokea maana odds ni 90% likely kwa wasichana wengi!
Ukiona meseji hazijibiwi kwa wakati, namba inatumika sana kuanzia saa 4-6 usiku na pia hakujulii hali siku nzima mpaka umuanze na ukiulizia shida ni nini anakuwa mkali na visingizio ambavyo havikuwepo mwanzoni jua tayari.
haya umeshinda mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] stareheee ya b ykooo