Atarudi anajua kila aina ya style za karma sultra omba tu askutane na wapenda migongo.Mimi nina mchumba anatarajia kwenda Chuo Kikuu, sasa anasema nimsubiri. Je, itawezekana kumuoa au atabadilika?
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteMimi nina mchumba anatarajia kwenda Chuo Kikuu, sasa anasema nimsubiri. Je, itawezekana kumuoa au atabadilika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Majbu nmeanzA yapata xaxa
Pole mzeeMajbu nmeanzA yapata xaxa
Bado mambo yako xawa mkuu japo kukwazana kupo
Nmelpata xaxa
Asante xna ushaur wako mzr kaka umefanya kazMsubiri kama una uwezo,ila chukua tahadhari huwa wanabadirika wakifika chuo.
Tia mimba,naye atakuwa wako mileleAsante xna ushaur wako mzr kaka umefanya kaz
Chukua tahadhari kwa sababu wakifika kule madesa yanaleta shida.Mimi nina mchumba anatarajia kwenda Chuo Kikuu, sasa anasema nimsubiri. Je, itawezekana kumuoa au atabadilika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ushauri nimeona jamaa anakuambia umtie mimba, kiongozi kama hujajipanga kufanya hivyo usijaribu kwa sababu utakuja kuharibu future ya mtoto wa MTU halafu baadae mnaanza kutuambia mambo ya singo maza. Tafasali sana kijana.Mimi nina mchumba anatarajia kwenda Chuo Kikuu, sasa anasema nimsubiri. Je, itawezekana kumuoa au atabadilika?
Sent using Jamii Forums mobile app
XawA kaka na mimi siko tayarKuna ushauri nimeona jamaa anakuambia umtie mimba, kiongozi kama hujajipanga kufanya hivyo usijaribu kwa sababu utakuja kuharibu future ya mtoto wa MTU halafu baadae mnaanza kutuambia mambo ya singo maza. Tafasali sana kijana.
Sent using Jamii Forums mobile app