Napataje laini za Lipa kwa M-Pesa au Tigo Pesa?

Napataje laini za Lipa kwa M-Pesa au Tigo Pesa?

Nenda kwenye shop zao mfano vodashop/duka la tigo.
Ukiwa na leseni ya biashara kutoka TRA (maana wanao pata laini za lipa ni wafanyabishara tu.), Pia ambatanisha na nakala moja wapo kati ya kitambulisho cha taifa, mpiga kura, leseni ya udereva, kitambulisho cha mkazi (kwa watu wa Zanzibar) au namba ya NIDA.
mchakato mwingine utaendelea na kupaswa kuwakilisha vitambulisho viwili vya wazamini.
 
Nasikia lipa kwa tigo pesa wameanza kukata ukitoa pesa.
 
Hizo huduma za lipa naona baadhi ya watu wakija ofisi wanahitak sana..nahitaji nijue znafanyaje kazi
Mteja analipa Kwa namba yako ya Lipa Namba. Makato ni madogo sana kwa mteja na wewe mwenye line kutoa pesa mara moja kwa siku ni bure.
 
Jaman mnao amisha pesa kutoka mtandao wa airtel money au halopesa kwenda lipa kwa Tigo kuweni makini leo mm nimeamisha 1,114,000/= kutoka airtel money kwenda lipa kwa tigo wamenikata 15,000/=.
 
Back
Top Bottom