Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Hivi nikitaka kufuga mnyama wowote pori Tanzania ikiwa nakaa naye mw na ulinzi mkali bila kuhatarisha mtu yoyote na majirani; utaratibu upoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Milembe?Unataka Mnyama Pori kwa ajili ya Ulinzi?
Anzia Mirembe watakupatia utaratibu na matibabu kama ikilazimu. Kisha uende Ofisi za TAWA watakusaidia further.
kukaa kimya pia Inatosha Km unaona swali la kijinga. Nimeuliza kwa maana yangu. Ungesema hujui au kuna sehemu ya kwenda au hairuhusiwi; sio kunipekua mie.Unataka Mnyama Pori kwa ajili ya Ulinzi?
Anzia Mirembe watakupatia utaratibu na matibabu kama ikilazimu. Kisha uende Ofisi za TAWA watakusaidia further.
Ushauri wangu hujaupenda?kukaa kimya pia Inatosha Km unaona swali la kijinga. Nimeuliza kwa maana yangu. Ungesema hujui au kuna sehemu ya kwenda au hairuhusiwi; sio kunipekua mie.
Tatizo yenu mnaona kila swali personal na linahusisha muulizaji mw directly. Cjui hata Necta ulikuwa unajibu ivyo. Ila kuna low IQ sana umu.
Kienyeji kabisa huyo binti 😍View attachment 2707338
Hivi nikitaka kufuga mnyama wowote pori Tanzania ikiwa nakaa naye mw na ulinzi mkali bila kuhatarisha mtu yoyote na majirani; utaratibu upoje?
Playboys wakishapataga watoto wa kike tu moja haikai mbili haikaiUnaa mgodi nyumbani au😃😃😃,, au unataka kulinda nini mwenzetu🤔🤔🙌
Ndo ulichokiona😃😃😃😂😂🙌Kienyeji kabisa huyo binti 😍
Kwakweli 😌🙌Playboys wakishapataga watoto wa kike tu moja haikai mbili haikai
NaKienyeji kabisa huyo binti 😍