Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Kwanini Milembe?Unataka Mnyama Pori kwa ajili ya Ulinzi?
Anzia Mirembe watakupatia utaratibu na matibabu kama ikilazimu. Kisha uende Ofisi za TAWA watakusaidia further.
kukaa kimya pia Inatosha Km unaona swali la kijinga. Nimeuliza kwa maana yangu. Ungesema hujui au kuna sehemu ya kwenda au hairuhusiwi; sio kunipekua mie.Unataka Mnyama Pori kwa ajili ya Ulinzi?
Anzia Mirembe watakupatia utaratibu na matibabu kama ikilazimu. Kisha uende Ofisi za TAWA watakusaidia further.
Ushauri wangu hujaupenda?kukaa kimya pia Inatosha Km unaona swali la kijinga. Nimeuliza kwa maana yangu. Ungesema hujui au kuna sehemu ya kwenda au hairuhusiwi; sio kunipekua mie.
Tatizo yenu mnaona kila swali personal na linahusisha muulizaji mw directly. Cjui hata Necta ulikuwa unajibu ivyo. Ila kuna low IQ sana umu.
Kienyeji kabisa huyo binti πView attachment 2707338
Hivi nikitaka kufuga mnyama wowote pori Tanzania ikiwa nakaa naye mw na ulinzi mkali bila kuhatarisha mtu yoyote na majirani; utaratibu upoje?
Playboys wakishapataga watoto wa kike tu moja haikai mbili haikaiUnaa mgodi nyumbani auπππ,, au unataka kulinda nini mwenzetuπ€π€π
Ndo ulichokionaππππππKienyeji kabisa huyo binti π
Kwakweli ππPlayboys wakishapataga watoto wa kike tu moja haikai mbili haikai
NaKienyeji kabisa huyo binti π