Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 209
- 368
Mwenye idea ya jinsi ya kupromote tovuti ya bongo ifikie watu wengi at a medium budget?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Ongea na Mwijaku
mainly ni ya movie zilizotafsiriwa, ni kali, visitors wapenda entertainment, platform itakayotumia bei ndogo nakuleta majibu makubwa, website quality itamrudisha visitor, nipe mwongozo?Website yako inahusu nini? na inatoa value gani kwa mteja?
Ni visitors wa namna gani unahitaji kuwapata?
Ni platform gani unataka kutumia kutangaza?
Nini kitamrudisha visitor tena kwenye site yako baada ya kuacha kuitangaza?
Tuanzie hapo
mange kanitapeli, saivi anamfumo wakulipia kupitia paypal, nimelipia lakini sijafunguliwa huduma!!!Kwa tanzania labda uleak video za mange focus nje (Sijaropoka nina experience)
Moviez Tz huu ushauri hauna uhalisia, upuuzie. nina website inayowalenga watanzania na watu wapo willing kulipia tovuti inachokipromoti na inanitengenezea wateja wengiKwa tanzania labda uleak video za mange focus nje (Sijaropoka nina experience)
Huo ni ujinga wako wa kutafuta video za watumange kanitapeli, saivi anamfumo wakulipia kupitia paypal, nimelipia lakini sijafunguliwa huduma!!!
Nimemwambia kama sio connection ni muvi zilizo elezewa na related things ila sio mambo ya msingiMoviez Tz huu ushauri hauna uhalisia, upuuzie. nina website inayowalenga watanzania na watu wapo willing kulipia tovuti inachokipromoti na inanitengenezea wateja wengi
View attachment 3089029
Kitu cha kwanza inabidi wapi audience wako wanapotafuta info kuhusu muvi zilizotafsiriwa na ushindani kiujumla
Niliposachi maneno kama "sizoni zilitotafsiriwa", kwenye google search, ilileta channel za youtube nyingi na zina views wa kutosha, hii inamaanisha soko lipo(ndio maana nimesema aliyeshauri hapo juu hajatafiti) ila watazamaji wanaangalia bure youtube
View attachment 3089023
Kwa hiyo ubunifu unatakiwa na inaulazimu uikuze website yako kwa kuambatana na Channel yako ya Youtube, tumia channel yako ya youtube kupromoti website.
Kwa mfano, unaweka labda episode mbili episode zilizobaki ni za kulipia kwenye tovuti yako
Halafu inabidi uwe na blog ya kiswahili na uiunge na Google search console na Google Search Analytics kupata keywords zinazoandikwa na wateja unaowalenga wakiwa wanatafuta movies google, pia google keyword planner unaweza kutumia kujua traffics ya keywords
Ila inabidi uwe mvumilivu ili uwaelewe wateja wako, inachukua muda mpaka tovuti iwe na watembeleaji wa uhakika
ShukraniMoviez Tz huu ushauri hauna uhalisia, upuuzie. nina website inayowalenga watanzania na watu wapo willing kulipia tovuti inachokipromoti na inanitengenezea wateja wengi
View attachment 3089029
Kitu cha kwanza inabidi wapi audience wako wanapotafuta info kuhusu muvi zilizotafsiriwa na ushindani kiujumla
Niliposachi maneno kama "sizoni zilitotafsiriwa", kwenye google search, ilileta channel za youtube nyingi na zina views wa kutosha, hii inamaanisha soko lipo(ndio maana nimesema aliyeshauri hapo juu hajatafiti) ila watazamaji wanaangalia bure youtube
View attachment 3089023
Kwa hiyo ubunifu unatakiwa na inaulazimu uikuze website yako kwa kuambatana na Channel yako ya Youtube, tumia channel yako ya youtube kupromoti website.
Kwa mfano, unaweka labda episode mbili episode zilizobaki ni za kulipia kwenye tovuti yako
Halafu inabidi uwe na blog ya kiswahili na uiunge na Google search console na Google Search Analytics kupata keywords zinazoandikwa na wateja unaowalenga wakiwa wanatafuta movies google, pia google keyword planner unaweza kutumia kujua traffics ya keywords
Ila inabidi uwe mvumilivu ili uwaelewe wateja wako, inachukua muda mpaka tovuti iwe na watembeleaji wa uhakika
We akili yako kama andazi tu!!!Huo ni ujinga wako wa kutafuta video za watu