Napataje lots of returning website visitors?

Website yako inahusu nini? na inatoa value gani kwa mteja?
Ni visitors wa namna gani unahitaji kuwapata?
Ni platform gani unataka kutumia kutangaza?
Nini kitamrudisha visitor tena kwenye site yako baada ya kuacha kuitangaza?

Tuanzie hapo
 
Website yako inahusu nini? na inatoa value gani kwa mteja?
Ni visitors wa namna gani unahitaji kuwapata?
Ni platform gani unataka kutumia kutangaza?
Nini kitamrudisha visitor tena kwenye site yako baada ya kuacha kuitangaza?

Tuanzie hapo
mainly ni ya movie zilizotafsiriwa, ni kali, visitors wapenda entertainment, platform itakayotumia bei ndogo nakuleta majibu makubwa, website quality itamrudisha visitor, nipe mwongozo?
 
Kwa tanzania labda uleak video za mange focus nje (Sijaropoka nina experience)
Moviez Tz huu ushauri hauna uhalisia, upuuzie. nina website inayowalenga watanzania na watu wapo willing kulipia tovuti inachokipromoti na inanitengenezea wateja wengi

Kitu cha kwanza inabidi wapi audience wako wanapotafuta info kuhusu muvi zilizotafsiriwa na ushindani kiujumla

Niliposachi maneno kama "sizoni zilitotafsiriwa", kwenye google search, ilileta channel za youtube nyingi na zina views wa kutosha, hii inamaanisha soko lipo(ndio maana nimesema aliyeshauri hapo juu hajatafiti) ila watazamaji wanaangalia bure youtube

Kwa hiyo ubunifu unatakiwa na inaulazimu uikuze website yako kwa kuambatana na Channel yako ya Youtube, tumia channel yako ya youtube kupromoti website.

Kwa mfano, unaweka labda episode mbili episode zilizobaki ni za kulipia kwenye tovuti yako

Halafu inabidi uwe na blog ya kiswahili na uiunge na Google search console na Google Search Analytics kupata keywords zinazoandikwa na wateja unaowalenga wakiwa wanatafuta movies google, pia google keyword planner unaweza kutumia kujua traffics ya keywords

Ila inabidi uwe mvumilivu ili uwaelewe wateja wako, inachukua muda mpaka tovuti iwe na watembeleaji wa uhakika
 
Nimemwambia kama sio connection ni muvi zilizo elezewa na related things ila sio mambo ya msingi
 
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…