WatesiWETU
Senior Member
- Jan 2, 2022
- 106
- 248
Mawese yanatoa mafuta ya aina mbili, hajaweka wazi anataka akamue mafuta yanayotokana na gamba la nje la mbegu (mekundu) au yanayotokana (kama ya nazi) na mbegu ya ndani...Uko mkoa gani?.
Mikoa ambayo mawese inapatikana kwa wingi ni pamoja na Kigoma na Mbeya.
Kama waweza ungetembelea uone uzalishaji na kujua mawili matatu kuhusu hiyo BIASHARA.
Au tembelea Sido iliyo karibu yako uombe kupewa taarifa.
ASANTE.
Nataka ya kupikia.. tena nimekosea nilitaka kumaaisha Mchikichi siyo mawese..Mawese yanatoa mafuta ya aina mbili,haja weka wazi anataka akamue mafuta yanayotokana na gamba la nje la mbegu (mekundu) au yanayotokana (kama ya nazi) na mbegu ya ndani...
Mkuu, michikichi ina mafuta ya aina mbili na yote hutumika kwa kupikia na wenyeji. Mafuta yanayokamuliwa kutoka kwenye mbegu ya ndani yapo kama ya nazi na yana bei kubwa sana.Nataka ya kupikia.. tena nimekosea nilitaka kamaaisha Mchikichi siyo mawese..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanatoa wapi hàyo matundaKwa Dar njoo Mvuti.
Huko utakutana na na legend wanaofanya hiyo kazi.
Wanakamua kwa kiasi kikubwa tu.
Pwani nenda Ruvu JKT zamani tulikuwa tukilima na kukamua, sasa sijui kukoje.
Nitakupa namba za wanaofanya hiyo kazi huku Mvuti nikionana nao
Alitembelea maeneo ya uzalishaji atapata elimu kubwa Sana na halisi na ya vitendo, lakini pia anaweza rahisisha kwa kutembelea ofisi za SIDO mahali alipo atapata details nyingi Sana mpaka upatikanaji wa machines.Mawese yanatoa mafuta ya aina mbili,haja weka wazi anataka akamue mafuta yanayotokana na gamba la nje la mbegu (mekundu) au yanayotokana (kama ya nazi) na mbegu ya ndani...
Mekundu ndio yanayoitwa mafuta ya mise?Mkuu,michikichi ina mafuta ya aina mbili na yote hutumika kwa kupikia na wenyeji. Mafuta yanayo kamuliwa kutoka kwenye mbegu ya ndani yapo kama ya nazi na yana bei kubwa sana.
Mafuta mekundu mtaji wa mashine yake ni nafuu sana tofauti na yale yatokanayo na kubanguliwa mbegu zake.
Karibu Kyela,karibu sana Mwaya.
Wewe nenda Mvuti kisha uliza wanakotengeneza Mawese, wao watakupa full info. Unaweza kuwatumia wao kama nguvu kazi. Mimi sinufaiki na chochote katika hilo, so msaada wangu utaishia hapo.Wanatoa wapi hàyo matunda
Ila Mvuti kubwa mkuuWewe nenda Mvuti kisha uliza wanakotengeneza Mawese, wao watakupa full info.
Unaweza kuwatumia wao kama nguvu kazi.
Mimi sinufaiki na chochote katika hilo, so msaada wangu utaishia hapo.
Kuna jamaa ana mashine yake ya kukamulia Mawese. Wengine wanakamua locally.
Be blessed bro.. kwa ushauriAlitembelea maeneo ya uzalishaji atapata elimu kubwa Sana na halisi na ya vitendo, lakini pia anaweza rahisisha kwa kutembelea ofisi za SIDO mahali alipo atapata details nyingi Sana mpaka upatikanaji wa machines.
Asante nduguWewe nenda Mvuti kisha uliza wanakotengeneza Mawese, wao watakupa full info.
Unaweza kuwatumia wao kama nguvu kazi.
Mimi sinufaiki na chochote katika hilo, so msaada wangu utaishia hapo.
Kuna jamaa ana mashine yake ya kukamulia Mawese. Wengine wanakamua locally.
Asante sana kaka.. mchango wako umenipa mwanga.. ngoja nijiaandae kutembelea Kigoma..Njoo kigoma kuna malighafi ya kutosha japo kwa sasa mawese yapo juu sana.Faida utakayopata ni kubwa sana endapo utaipata hiyo malighafi (magazi ) .kwa hapa nilipo changamoto ni ukosefu wa mashine za kukamulia.watu wanakamua locally kwa kutumia mitambo duni ya kuzunguka kwa kutumia mikono yaani ni nguvu mwanzo mwisho but ukiwekeza kisasa zaid utapiga hela sana kwani watu bado wako usingizini kuhusu hii fursa adimu.mi pia naitamani sana ila changamoto ni capital. Kwa sasa dumu la Lita 20 ni kati ya elfu 65 hadi elfu 70.kwetu pia tunayo hiyo malighafi japo siyo sana lakini kuna watu wanayo ya kutosha. Pia kuna njia nyingine inatumika kuipata, mtu anakukabidhi shamba we we unampa kiasi kadhaa cha pesa mnakubaliana utakaa kwa muda gani kama no mwaka au miezi sita unakuwa unavuna kama kwako then muda ukiisha unampisha. Mise pia ni bonge la dili kwani mafuta yake yanatafutwa sana especially SIDO kigoma kwa ajili ya kutengezea sabuni. Hivo ukikamua mawese then unaita MTU mwenye mashine ya kumenya mise then unabeba kupeleka SIDO kuuza kwa bei nzuri tu.
Ndiyo mkuu, matumizi makubwa ni kama ulivyo sema kwenye sabuni ila kuna matumizi zaidi ya hapo.Mekundu ndio yanayoitwa mafuta ya mise?
Hutumika kutengeneza sabuni?
Kaka naomba tuongee Kwa mapana ,namba yangu ni 0652260743Njoo kigoma kuna malighafi ya kutosha japo kwa sasa mawese yapo juu sana.Faida utakayopata ni kubwa sana endapo utaipata hiyo malighafi (magazi ) .kwa hapa nilipo changamoto ni ukosefu wa mashine za kukamulia.watu wanakamua locally kwa kutumia mitambo duni ya kuzunguka kwa kutumia mikono yaani ni nguvu mwanzo mwisho but ukiwekeza kisasa zaid utapiga hela sana kwani watu bado wako usingizini kuhusu hii fursa adimu.mi pia naitamani sana ila changamoto ni capital. Kwa sasa dumu la Lita 20 ni kati ya elfu 65 hadi elfu 70.kwetu pia tunayo hiyo malighafi japo siyo sana lakini kuna watu wanayo ya kutosha. Pia kuna njia nyingine inatumika kuipata, mtu anakukabidhi shamba we we unampa kiasi kadhaa cha pesa mnakubaliana utakaa kwa muda gani kama no mwaka au miezi sita unakuwa unavuna kama kwako then muda ukiisha unampisha. Mise pia ni bonge la dili kwani mafuta yake yanatafutwa sana especially SIDO kigoma kwa ajili ya kutengezea sabuni. Hivo ukikamua mawese then unaita MTU mwenye mashine ya kumenya mise then unabeba kupeleka SIDO kuuza kwa bei nzuri tu.