Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Wewe Mkopo Ulihitaji Kuuchukua Benki Gani Kwa Dhamana Ya Hicho Kiwanja?Bank gani mkuu
Bank ziko nyingi mkuuu,. Anza na NMB au CRDB uone taratibu zao zikojeBank gani mkuu
Itoshe kusema Wewe Huna shidaNingepata miongozo ingekuwa vizuri ili niende na ABC
Nahitaji mkopo wa million 3 nipo na kiwanja 20×20 kipo kigamboni naomba miongozo
Note: isiwe hizi microfinance
Hujawahi Kukopa Ama Huzifahamu Benki??Nenda Nbc,,,Crdb,,Nmb,,Equity,,n.k!!!Sijawahi kukopa mkuu nataka mnipe uzoefu
Kwa Maelezo zaidi Nenda Bank mkuu, kuna Idara za Mikopo utapatiwa hayo maelekezo yote na namna ya kufanya ili upate Hela,.Nina shida ndio maana niko hapa kama una uzoefu wowote nipatie hasa katika mambo ya viambata, riba na kiasi kulingana na eneo