Napataje mkopo kwa dhamana ya kiwanja

Nina shida ndio maana niko hapa kama una uzoefu wowote nipatie hasa katika mambo ya viambata, riba na kiasi kulingana na eneo
Kwa Maelezo zaidi Nenda Bank mkuu, kuna Idara za Mikopo utapatiwa hayo maelekezo yote na namna ya kufanya ili upate Hela,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…